CHAMA cha Soka England (FA) kimeutambulishwa mpira rasmi kutoka Kampuni ya Nike ambao utatumika msimu wa 2021/22 ndani ya Premier League.
Ligi hiyo inatarajiwa kuanza Agosti 14, 2021 na tamati yake ni Mei 22, 2022, ukiwa ni msimu wa 30 tangu ianze kuitwa Premier League mwaka 1992.
0 COMMENTS:
Post a Comment