Anayetoa leseni ya mchezaji kuchezea timu fulani ni yule anayeendesha ligi husika. TFF walitoa kibali Morrison aichezee Simba, na TFF ndiyo mwendesha ligi ya Bara na Azam Federation Cup. Maamuzi yoyote ya kuharamisha Morrison kuichezea Simba hayataathiri mechi za ligi zinazoendeshwa na TFF, maana ndiyo iliyoruhusu. Malalamiko yatashughulikiwa kimkataba upande wa maslahi tu
Hawa ni watu wa ajabu kweli. Ina mana. Mnyama anahitaji pointi 3 tu na huku na Myama akiwa na michezo 5 mkononi. Wanaamini Mnyama atapiteza michezo yake yote na wao washinde michezo yao mitatu. Hapo mganga kadanganyam.
Sisi tutapata ubingwa bila ya pointi za mezani. Simba anapoteza mechi zote na sisi tunashinda zote. Hatutaki dezo.
ReplyDeleteHii ndio gia ameridi jayo mwakalebela, analala anamwota morisson. Arailewa shauri lake.
ReplyDeleteAmerudi nayo
ReplyDeleteAnayetoa leseni ya mchezaji kuchezea timu fulani ni yule anayeendesha ligi husika. TFF walitoa kibali Morrison aichezee Simba, na TFF ndiyo mwendesha ligi ya Bara na Azam Federation Cup. Maamuzi yoyote ya kuharamisha Morrison kuichezea Simba hayataathiri mechi za ligi zinazoendeshwa na TFF, maana ndiyo iliyoruhusu. Malalamiko yatashughulikiwa kimkataba upande wa maslahi tu
ReplyDeleteMkataba utang'ata ile mbaya kwani ukigushi/ mislead ndio umeshiriki kutenda uovu, huwezi kuhamishia fff
DeleteHawa ni watu wa ajabu kweli. Ina mana. Mnyama anahitaji pointi 3 tu na huku na Myama akiwa na michezo 5 mkononi. Wanaamini Mnyama atapiteza michezo yake yote na wao washinde michezo yao mitatu. Hapo mganga kadanganyam.
ReplyDelete