Yeyote atakaeshinda amesha ona upepo jinsi wananchi wanavyo waangalia TFF na figisu zao za kizamani, wasitegemee kutumika kama daraja ya team fulani, mpira ni mchezo wa wazi pia mpira ni biashara, wakijichanganya wataona nguvu ya wananchi wenye mchezo wao, TFF sio mali ya kikundi fulani
Yaani kama uchaguzi mkuu uliopita....ujinga mtupu
ReplyDeleteSasa matusi ya nini? Kanuni za uchaguzi ndizo zilizowaweka pembeni halafu wewe unalia lia
DeleteYeyote atakaeshinda amesha ona upepo jinsi wananchi wanavyo waangalia TFF na figisu zao za kizamani, wasitegemee kutumika kama daraja ya team fulani, mpira ni mchezo wa wazi pia mpira ni biashara, wakijichanganya wataona nguvu ya wananchi wenye mchezo wao, TFF sio mali ya kikundi fulani
ReplyDelete