June 3, 2021

 


KIKOSI cha Simba leo Juni 3, kimeshuhudia ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba,  ukisoma Ruvu Shooting 0-3 Simba.


Ni katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao ulikuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili kusaka pointi tatu muhimu.


Ni John Bocco ambaye ni nahodha wa Simba alitupia bao la Kwanza dakika ya 17 na lile la pili dakika ya 87.


Bao la tatu ni mali ya Chris Mugalu dakika ya 61 ambaye aliwafanya mashabiki wa Simba kuongeza shangwe na kusepa na pointi tatu mazima. 


Ule wa Kwanza walipokutana Uwanja wa Uhuru ubao ulisoma Simba 0-1 Ruvu Shooting hivyo leo Simba wamelipa kisasi.

12 COMMENTS:

  1. Wapi masau bwire ajivunie kufungwa na moja ya timu bora barani afrika kwa sasa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi sio shabiki wa Simba ila kama Mtanzaniia nashauri hiki kiwango Cha Simba wanachoonesha hivi sasa kilindwe kwa gharama yeyote ile ikiwezekana kijaziwe nyama zaidi hata kama tutaamua kuwa hii staili ya uchezaji ya Simba ndio ndio staili ya soka letu Tanzania na timu za Taifa ni sawa kabisa kwanini siku zote tunahangaika kutafuta utambulisho wa soka letu wakati pakuanzia na kujifunzia tunapo tena ni bure kabisa badala ya timu yetu ya taifa kutangatanga na mpira usiokuwa na mipango na usiojulikana wa aina gani? Tuache unazi Simba wanacheza mpira wa kisiasa Sana mpira wa TV ambao kwa miaka mingi ilikuwa vigumu kuota kuwa ipo siku tutatizama timu ya kitanzania ikicheza mpira kama ule tuliokuwa tukiangalia kwenye TV kwa timu za ulaya. Wenye akili ndio wanaweza kunielewa ninachoamanisha hapa kwa kifupi Simba iwe role model wa mpira wetu wameweza kama timu na kama Taifa tutaweza pia.Kaja Sevilla ya spain hapa kamili gado alipigwa butwaa alichikiona kwa Simba lakini Kama Taifa kwanini tunashindwa kuchukua ubora wa simba kwenda Kwenye timu yetu ya Taifa tunakwama wapi au ndio huo usimba na uyanga au roho mbaya tu?

      Delete
    2. Haya ni maono Bora. Tff walitazame hili kama vipi.

      Delete
  2. Jee vipi kocha Mkwasa, msimsmo wsko uko palepale kuwa Simba ni ileile mliyoifunga raundi ya Kwanza na utaondoka na point tatu au imebadilika? Ukilinganisha I utaons umeanhuka muanguko wwa mennde huku ukichapwa matatu ni kutimuliwwa nyota wako wawili smbapo umewasafishia nji matopolo mchezo unaofwara. Kwahivo jikazeni mbeke ya hao matopolo kwani nao Hali si nzuri kwao lakini WA zamani walinena "kufa kufaana" is a kwa hivo mkiwapa ushindi mmewapiga jeki

    ReplyDelete
  3. Kocha wao sio Mkwasa Bali Masau. Alijigamba bila ya kujiwekea akipa aijuwa kuwa anapambana na Simba Wala si matopoli

    ReplyDelete
  4. Utopolo wakifikiria kuhusu mnyama, yanagongà yanarudi

    ReplyDelete
  5. Jamaani kaizer chiefs wameacha msiba mzito

    ReplyDelete
  6. Kaizer chief anaponzea wenzake,mpaka yanga wakafukue vile vyungu vyao pale taifa maana waliwanga mchana ili waifunge simba nakuwavunja miguu hatimae tunawasaidia mechi ijayo hakuna nyoso wala kipa namba moko mshindwe wenyewe

    ReplyDelete
  7. Na kurejea Manji aliekuwa akitarajiwa kurudi kwa matopolo kwa udi na uvumba yameishia wapi na la matopolof kumueeseka Tena Morrison baada ya kuifunga bao la ajabu na kukimbiwa na Muangola kimyaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Manji bado ana kesi,mpaka kieleweke ndio atarudi nchini sio yanga,yule ni mhujumu uchumi,cas hakuna kesi ya morrison ila kwasababu ya upofu walionao yanga acha acha waendelee kudanganywa.labda yesu atakaporudi kama alivyoahidi watapata ufahamu.

      Delete
  8. Uwanaume Ni Raha sana, wengine vituko kazi umbea CA's na kwa wageni tu wanapotua bongo kucheza na mwanaume

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic