NYOTA wa Azam FC, Ayoub Lyanga ameingeza dili la miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo.
Nyota huyo ambaye ametupia jumla ya mabao 7 na pasi mbili ata ami ndani ya kikosi hicho mpaka 2024.
Nyota huyo alijiunga na Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina akitokea Klabu ya Coastal Union.
0 COMMENTS:
Post a Comment