MOHAMED Seif Khalfan ameibuka kuwa mshindi wa bonasi ya Jackpot ya SportPesa.
Khalfan ni mshindi wa bonasi ya Jackpot ni mkazi wa Dar es Salaam amekabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 20,887,265 baada ya ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya SportPesa ambayo kwa sasa ni shilingi 338,518,100.
Be blessed!
ReplyDelete