Dk 90 Shikalo anaanzisha mashambulizi kwenda Biashara United
Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
Kipindi cha kwanza
Zinaongezwa dk 2
Dk 45 Kaseke anachezewa faulo
Dk 41 Kisinda anafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dk 29 Kipa wa Biashara United anaanzisha mashambulizi
Dk 25 Mauya anamchezea faulo nyota wa Biashara United
Goooal dk 22 Yacouba
Dk 18 Mpapi Nasibu anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Kisinda
Dk 17 Mafie anapambana na Job
Dk 14 Tonombe anapewa huduma ya Kwanza
Dakika ya 12 Kaseke anapiga pasi ya kisigino ndani ya 18 inakwenda nje ya 18
Dakika ya 10 Kibwana Shomari anapiga kona ya kwanza inakutana na kichwa cha Mauya kinakwenda nje ya lango
Dakika ya 7 Ramadhan Chombo anapiga kona ya kwanza kwanza kwa Biashara United.
Dakika ya 5 Kisinda afanaya jaribio la kwanza linaokolewa na James
Biashara United 0-0 Yanga
0 COMMENTS:
Post a Comment