VIDEO: MWAKALEBELA ASIMULIA MAISHA YAKE NJE YA SOKA, ISHU YA MORRISON
FREDRICK Mwakalebela ambaye kwa sasa amesimamishwa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kwa muda wa miaka mitano kujihusisha na masuala ya michezo kutokana na makosa ambayo ameyafanya pamoja na faini. Amezungumza mengi nje ya soka pamoja na hali ambayo anaendelea nayo kwa sasa baada ya kufungiwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment