VIDEO: MASHABIKI WA SIMBA WADADA WAMTAJA LUIS NA WAWA
MASHABIKI wa Simba wameweka wazi kwamba ushindi walioupata mbele ya Ruvu Shooting kwa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting ni furaha kwao, pia wametaja wachezaji ambao wanawakubali ikiwa ni pamoja na Pascal Wawa na Luis Miquissone.
0 COMMENTS:
Post a Comment