June 19, 2021

5 COMMENTS:

  1. Sisi yanga tushamsamehe kwa kuwa ameomba radhi. Aombe radhi na TFF ili wasimuadhibu

    ReplyDelete
  2. Hao mashabiki wa yanga wanaomuombea Metacha msamaha hii leo sio wao waliomzomea na kumfanyia fujo kubwa na kutaka kmddhuru iliopelekea atolewe nje chini ya ulinzi wa polisi hata ikabidi yeye kuwaonesha hicho kidole kilchowakera. Hawa jamaa wanapofanya fujo lao, hawana akili ya kufikiria nini matokeo yake. Sasa ndio wanajiuliza nani atakaa langoni katika mechi zijazo, kubwa zaidi ya tarehe tatu na huku Faruku keshajuwa anatemwa na Kabwili keshatengwa, jee nani ataekaa langoni siku hiyo inayokaribia na jawabu ni kuwa hawana kipa na huku wakubwa wakiranda Afrika nzima kusajili nyota wasio na idadi. Fujo, fujo, fujo

    ReplyDelete
  3. Hata akisamehewa kwani Rungu la TFF si lipo lililowasibu akina Nyosi, na wengi wengineo

    ReplyDelete
  4. Tuluwahi kushuhudia kipa biea Afrika ya mashariki Manula akiruhusu magoli yasiyokuwa na mana lakini hatujawaona mashabiki wa Simba kumzomea au kumtukana kwasababu wanatambuwa kuwa Manula ni binaadamu na hapana binaadamu asieyajuwa hayo na mpaka kei Manula ndie kipa bora anayetakiwa kila pahala. Hakuna raha ya ushindi kama hujawahi kushindwa lakini matopolo hawayajui hayo sasa iliobaki ajitokeze mzee mmoja akae langoni mechi zijazo

    ReplyDelete
  5. Simba Ni professional matopolo yanakwenda kijingajinga

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic