VIDEO: MASHABIKI WAJITOKEZA KWA WINGI UWANJA WA MAJIMAJI, SONGEA
UWANJA wa Majimaji ambapo kutakuwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Simba v Azam FC ikiwa ni hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho mashabiki wamejitokeza kwa wingi ili kuweza kushuhudia burudani leo Songea.
Full time..... Azam 2 Simba 1
ReplyDeleteHiyo ndoto uliota ukiwa umelala wapi? Kilabuni au sokoni?
Delete