FT: Simba 1-0 Azam FC
Dk 90+3 Nyoni anaingia anatoka Chama
Zinaongezwa dk 3
Dk 90 Kangwa, Chirwa njano
Dk 89 Goal LuisDk 83 Tigere Tigere anatoka Sure Boy
Dk 81 Azam FC wanapata kona
Dk 80 Simba wanapeleka mashambulizi Azam FC
Dk 66 Kader anaingia anatoka Lyanga
Dk 65 Chama anafanya jaribio linaokolewa na Kigonya
Dk 60 Morrison ndani nje Bwalya
Dk 59 Mudhathir anaonyeshwa kadi ya njano
Dk 57 Kapombe anafanya jaribio linaokolewa na Kigonya
Dk 54 Luis anacheza faulo kwa nyota wa Azam FC
Dk 48 Onyango anapokwa mpira na Sure Boy anapaisha mpira mbele ya Manula
Dk 45 Meddie anaingia Mzamiru anatoka
Kipindi cha pili
Mapumziko, Uwanja wa Majimaji
Mapumziko, Uwanja wa Majimaji
Simba 0-0 Azam FC
Zinaongezwa dk 2
Dk 44 Bocco anaotea
Dk 41 Luis anapiga kona kwa Simba inaokolewa na Lyanga
Dk 39 Kigonya anapeleka mashambulizi kwa Manula
Dk 30 Azam FC wanapata kona ya kwanza
Dk 23 Kigonya anapeleka mashambulizi Simba
Dk ya 17 Lwanga anaonyeshwa kadi ya njano
Dk ya 16 Lwanga anafanya jaribio linakwenda nje ya 18
Dk ya 14 Daniel Amoah anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kuonekana akimchezea faulo kiungo wa Simba Luis
Dakika ya 13 Kapombe anamchezea faulo winga Nado
Dakika ya 9 Chama anapiga kona ya kwanza kwa Simba inaokolewa na Kigonya
Dakika ya 9 Chama anapiga kona ya kwanza kwa Simba inaokolewa na Kigonya
Dakika ya 6 Agrey Morris anapiga faulo ya kwanza kwa Azam FC inakwenda nje ya lango
Dakika ya 5 Chirwa anachezewa faulo na beki wa Simba, Pascal Wawa
Dakika ya 4, Mzamiru Yassin anafanya jaribio la kwanza kwa pasi ya John Bocco linakwenda nje ya 18
Prince Dube wa Azam FC amekosekana kwenye mchezo wa leo huku kwa Simba, Chris Mugalu akikosekana pia kutokana na kusumbuliwa na majeruhi.
Dakika 2 Tshablala anapeleka mashambulizi Azam FC
Dakika ya 1 Chama anapiga faulo ya kwanza kwa Simba inaokolewa na ukuta wa Azam FC
Uwanja wa Majimaji, Songea
Nusu fainali, Shirikisho
Simba 0-0 Azam FC
Seleman Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa anatambua mchezo wa leo dhidi ya Azam FC wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho utakuwa mgumu ila watapambana kupata matokeo chanya ili kutinga hatua ya nusu fainali.
Vivier Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa wanawaheshimu wapinzani wao ila wapo tayari kupata matokeo.
Ikumbukwe kwamba mshindi wa mchezo wa leo Uwanja wa Majimaji atakutana na Yanga kwenye mchezo wa fainali.
Azam piga hao mikia bao 2-0.
ReplyDeleteAzam piga hao mikia bao 2-0.
ReplyDeleteMaombi ya kumkimbia mnyama
DeleteAsante Simba wetu. Mungu akubarikini. Matopolo rowekeni vichwa kwa sabuni msije nyolewa nyewele kavu hapo 3 July
ReplyDeleteMatopolo rowerkeni nywele kwa maji na sabuni mtakuja kukosa nywele na ubingwa mnaoumezea mate
ReplyDeleteMutaona ukaili wa hiyo mikia itapokuchapeni tarehe 3 anzeni kuiota tangu leo
ReplyDeleteAzam kafa FA na atakufa kwenye ligi kuu kama ambavyo tutamfanya Utopolo nae. Heshima yetu tunaichukua kwa nguvu
ReplyDeleteNyie mikia kupinda aka paka mweusi embu tuambieni nini kilitokea ktk mechi 2 za mwisho?
ReplyDeleteMakombe yote tunatetea, utopolo lenu mapinduzi cup
ReplyDeleteVipi kesi ya Morrison imefikia wapi? maana ni yeye katengeneza faulo nje ya 18, kaichezesha haraka na kumpigia makelele ya kumshitua acheze mpira...Miqi kacheza bao kama walivyomalizwa Nkana...kwa staili hiyo hiyo.
ReplyDeleteWalikimbia moja....sasa zipo dabi tatu! safi sana
Na vipi huo mkutano wa jumapili ndio mmeshajitayarisha kwa sherehe za kumpokea Manji na hapo tarehe 3 tunaomba yeye amkabidhi Mnyama ubingwa
ReplyDeleteMtapenyeza mpaka mikia ipinde.
ReplyDeleteMikia inawaumiza matopolo tena muikimbie kwasababu haichagui pakupiga
ReplyDelete