KESHO Uwanja wa Majimaji, Songea utachezwa mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho kati ya Simba v Azam FC ikiwa ni hatua ya nusu fainali.
Mshindi wa mchezo wa kesho Juni 26 atakutana na Yanga ambayo imeshinda leo kwa bao 1-0 dhidi ya Biashara United haya hapa mazoezi ya mwisho ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes
0 COMMENTS:
Post a Comment