VIDEO: MZEE MPILI WA YANGA AGOMEA MECHI YA JULAI 3, TFF YAPIGWA MKWARA
MZEE Mpili shabiki wa Yanga amesema kuwa Yanga haina tatizo kushushwa daraja inaweza kwenda Unguja kucheza mpira huku wakiweka wazi kwamba hawapo tayari kucheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Julai 3, Uwanja wa Mkapa.
Ni bora wasinde kucheza waingie mitini waikimbie aibu kwasababu wameshaona watagaragazwa vibaya Juli3 kwahivo ni bora aibu ya kuingia mitini kuliko kuchapwa kama watoto.
ReplyDeleteSasa wazeevkama hawa ndio wamekiwa wasemaji wa yanga, duh! Yanga kweli imekwisha
ReplyDeleteJe umesahau kuna klabu kongwe hati zake zinamilikiwa na mzee wa mtaani?
DeleteKweli hawa wanaakili Jana katika mkutano wao na waandishi wa habari Global Publishers, wazee wa tawi la yanga nilistuka mmoja kati yao alimhujumu Hersi kwa kusema mwenye asli ys Usomali inaonesha wameshazisahau neema na mapenzi yake kwa timu hio
DeleteMbona uto wanalialia sana. Kwani nani amewalazimisha kucheza.... Kelele nyiiiingi mkifikiria Mnyama yangonga yanarudi
ReplyDeleteMimi nawaung mkono wazee. Kama mmeona tutalala kwa 4. 3. Au hata mbili basi timu isende mkapa. Asanteni kwa mazingira na mazingara
ReplyDeleteKwani Yanga wao wanasemaje?
ReplyDelete