VIDEO: TFF YAFUNGUKIA ISHU YA UCHAGUZI, MAMLAKA IPO MIKONONI MWA KAMATI
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF), Wilfred Kidao amesema kuwa suala la kuingilia mchakato wa uchaguzi lina athari kubwa kwa familia ya michezo hivyo ni muhimu kuliacha mikononi mwa Kamati ya Uchaguzi wa TFF. Pia amewaomba wagombea kufuata kanuni ambazo zimewekwa ili kuweza kupata haki zao.
Chonde chonde msije mkamchagua Karia. Kura zenu mzielekeze kwa Ally Mayay.
ReplyDelete