VIDEO: SIMBA KUINASA SAINI YA KIUNGO OCHOWECHI WA NIGERIA
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes, anahitaji wachezaji watatu ambapo kati ya hao ni pamoja na beki, kiungo mmoja na mshambuliaji. Miongoni mwa wachezaji ambao wapo kwenye rada za Simba ni pamoja na kiungo, Oche Ochowechi raia wa Nigeria anayecheza ndani ya Klabu ya Plateau United.
Mnyama kimyakimya na hayakutangzwa na Mnyama mwenyewe bali wambeya wao wenyewe kimyakimya bila ya makelele na majisifu ni kustukiya tu
ReplyDelete