VIDEO: WASAUZI WAINGILIA DILI LA USAJILI WA MSHAMBULIAJI WA YANGA
IMEELEZWA kuwa timu kutoka Afrika Kusini zimeingilia dili la usajili wa mshambuliaji wa Klabu ya Ethiopian Coffee, Abubeker Naser ambaye alikuwa anatajwa kuingia kwenye rada za Klabu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi.
0 COMMENTS:
Post a Comment