MTENDAJI Mkuu wa Simba, (CEO), Barbara Gonzalez amemwambia Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire kwamba yote ni matokeo na amempa pole kwa kupoteza mchezo wao walipokutana Uwanja wa CCM Kirumba, Jana Juni 3, kwenye mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba, ubao ulisoma Ruvu Shooting 0-3 Simba.
Kipa de chenyewe cha video umekikata ovyo tuu
ReplyDeleteExcellent pro player.
ReplyDelete