June 19, 2021

DK Tiboroha amesema kuwa kwa watu ambao waliiona katiba ya TFF walitambua kwamba inahitaji maandalizi makubwa kwa ajili ya kuweza kugombea pamoja na uzoefu wa muda mrefu.

 Ameweka wazi kwamba tatizo ambalo limekuwa wimbo mkubwa ni lile la endorsement ambalo linaweza kutoa picha kamili ya mshindi. Kuelekea kwenye uchaguzi mkuu amemtaja mgombea Wallace Karia kwamba amepata endorsement nyingi jambo linalomaanisha kwamba anakubalika. 

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic