ndiyo maana taaruma ya habari tz inazaraurika kwakukosa watu ambao hawajasoma kama nyinyi mkiambiwa msibitishe mnakuwa hamna ushahidi ila mnapenda kuwa mnaongea ushubwada kama unaongea kitu kama hicho ujue hiyo ni kesi kama ulifanyiwa hivyo ulichukua hatua ipi,,,,,acheni umaku siku nyingine
Ndugu jifunze kiswahili ili uwe unaandika kiswahili fasaha.......taaruma(taaluma)inazaraurika(inadharaulika)......msibitishe(mthibitishe) Halafu acha utoto kwa kutukana matusi katika lugha fiche.
Chuki, fitina na kujipendeleza ndio ujinga wetu yanga. Huyo comando wa udongo kichwani ni zero. Na kwa ujinga huu hata mabadiliko itakuwa shida kufanikiwa
ndiyo maana taaruma ya habari tz inazaraurika kwakukosa watu ambao hawajasoma kama nyinyi mkiambiwa msibitishe mnakuwa hamna ushahidi ila mnapenda kuwa mnaongea ushubwada kama unaongea kitu kama hicho ujue hiyo ni kesi kama ulifanyiwa hivyo ulichukua hatua ipi,,,,,acheni umaku siku nyingine
ReplyDeleteNdugu jifunze kiswahili ili uwe unaandika kiswahili fasaha.......taaruma(taaluma)inazaraurika(inadharaulika)......msibitishe(mthibitishe)
DeleteHalafu acha utoto kwa kutukana matusi katika lugha fiche.

ReplyDelete