June 13, 2021

9 COMMENTS:

  1. Kuna magoli mlifunga mkakataliwa!!!? Cheza mpira acha malalamiko utopolo

    ReplyDelete
  2. Uhuru wa nchi haujaletwa na yanga.

    ReplyDelete
  3. Kuwa yanga inahitaji kukitoa ufahamu. Kuna point gani ya muhimu ktk malalamiko yao? Mwakalebela kisha sema alikosea na akaomba msamaha, wao wanataka nini?
    Mechi iliahirishwa na serikali, tff wanahusikaje?
    Mwenye kupanga na kuratibu mpira Tanzania. Wao wananguvu gani kuanza kujipangia mambo
    Kama hawatapeleka timu sheria safari ichukue mkonfo wao, washushwe daraja, tumechoka na ujinga huu
    Wanaogopa kucheza na simba, vipi kombe la FA nalo watapata kisingizio?
    Hiyo kesi Fifa mbona tarehe 2 june ilipita kimya?
    Acheni ujinga bwana

    ReplyDelete
  4. Hawa yanga wanschfikiria cha jwanza kuliko maendeleo yao ni mwenendo wao wa kulalamika ovyoovyo kuwa wanaonewa. Nani anaewaonea hao au kwakuwa anaachiliwa mnyama kuendlea na ubingwa kwa mara nne mfululizo. Hii bila ya shaka inapelekea kudharauliwa na kupoteza heshima

    ReplyDelete
  5. Ninyi watu msitudanganye paka ubingwa wenu feki paka shume

    ReplyDelete
  6. Uhuru ulioletwa na yanga ni upi huo. Kama ni kweli basi ndio maana hadi leo tumeshindwa kuendelea maana akili iliyotimika kutupa uhuru ni ya kiutopolo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wamechangia na sio wao pekee ndio walioleta uhuru, jiongeze kilaza

      Delete
  7. Hiyo ya serikali kutaka mechi isogezwe imetengenezwa na watu wamechukua chao, hakukuwa na sababu zozote za msingi. Msitake kuwafanya watu wajinga, waachenk wazee waseme ukweli.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic