Kuwa yanga inahitaji kukitoa ufahamu. Kuna point gani ya muhimu ktk malalamiko yao? Mwakalebela kisha sema alikosea na akaomba msamaha, wao wanataka nini? Mechi iliahirishwa na serikali, tff wanahusikaje? Mwenye kupanga na kuratibu mpira Tanzania. Wao wananguvu gani kuanza kujipangia mambo Kama hawatapeleka timu sheria safari ichukue mkonfo wao, washushwe daraja, tumechoka na ujinga huu Wanaogopa kucheza na simba, vipi kombe la FA nalo watapata kisingizio? Hiyo kesi Fifa mbona tarehe 2 june ilipita kimya? Acheni ujinga bwana
Hawa yanga wanschfikiria cha jwanza kuliko maendeleo yao ni mwenendo wao wa kulalamika ovyoovyo kuwa wanaonewa. Nani anaewaonea hao au kwakuwa anaachiliwa mnyama kuendlea na ubingwa kwa mara nne mfululizo. Hii bila ya shaka inapelekea kudharauliwa na kupoteza heshima
Hiyo ya serikali kutaka mechi isogezwe imetengenezwa na watu wamechukua chao, hakukuwa na sababu zozote za msingi. Msitake kuwafanya watu wajinga, waachenk wazee waseme ukweli.
Kuna magoli mlifunga mkakataliwa!!!? Cheza mpira acha malalamiko utopolo
ReplyDeleteUhuru wa nchi haujaletwa na yanga.
ReplyDeleteKuwa yanga inahitaji kukitoa ufahamu. Kuna point gani ya muhimu ktk malalamiko yao? Mwakalebela kisha sema alikosea na akaomba msamaha, wao wanataka nini?
ReplyDeleteMechi iliahirishwa na serikali, tff wanahusikaje?
Mwenye kupanga na kuratibu mpira Tanzania. Wao wananguvu gani kuanza kujipangia mambo
Kama hawatapeleka timu sheria safari ichukue mkonfo wao, washushwe daraja, tumechoka na ujinga huu
Wanaogopa kucheza na simba, vipi kombe la FA nalo watapata kisingizio?
Hiyo kesi Fifa mbona tarehe 2 june ilipita kimya?
Acheni ujinga bwana
Hawa yanga wanschfikiria cha jwanza kuliko maendeleo yao ni mwenendo wao wa kulalamika ovyoovyo kuwa wanaonewa. Nani anaewaonea hao au kwakuwa anaachiliwa mnyama kuendlea na ubingwa kwa mara nne mfululizo. Hii bila ya shaka inapelekea kudharauliwa na kupoteza heshima
ReplyDeleteNinyi watu msitudanganye paka ubingwa wenu feki paka shume
ReplyDeleteUhuru ulioletwa na yanga ni upi huo. Kama ni kweli basi ndio maana hadi leo tumeshindwa kuendelea maana akili iliyotimika kutupa uhuru ni ya kiutopolo
ReplyDeleteWamechangia na sio wao pekee ndio walioleta uhuru, jiongeze kilaza
DeleteWazee wa busara!!!!!
ReplyDeleteHiyo ya serikali kutaka mechi isogezwe imetengenezwa na watu wamechukua chao, hakukuwa na sababu zozote za msingi. Msitake kuwafanya watu wajinga, waachenk wazee waseme ukweli.
ReplyDelete