OFISA Uhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa hata akiondoka leo ndani ya Yanga anaamini kwamba atakuwa ameacha alama hasa kwa hatua ambayo wamefikia kwenye mabadiliko ambayo hayana makandomakando kwa kuwa awali alipoanza kazi wengi walikuwa wakimbeza namna anavyozungumza kuhusu uwepo wa mabadiliko.
Pia ameweka wazi kuelekea mchezo wao wa watani wa jadi, Simba Julai 3 ambao ni wa ligi pamoja na ule wa fainali ya Kombe la Shirikisho wanapaswa wafike kwa muda ule uliopangwa.
Hapa hakuna kitu, huyu si alikuwa anahasisha wanayanga waikimbie ile mechi sasa kapata wapi confidence?
ReplyDeleteKwa nini musogeze muda kisa nyota haikuwa upande wenu. Haya mambo ya paka mweusi ni shida.
ReplyDeleteNugaz inabidi ubadilike. Acha kuhubiri siasa za kalr acha tusonge mbele
ReplyDelete