July 26, 2021

 MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema kuwa ikiwa ataulizwa kama apoteze mchezo ama atwae taji yeye angechagua kutwaa taji.



Hiyo imetokana na utani wa jadi mwa kuwa walipokutana na Yanga, Julai 3 katika mchezo wa ligi walifungwa bao 1-0 na kuyeyusha pointi tatu muhimu mazima.


Jana, Julai 25 walishinda bao 1-0 mbele ya Yanga katika mchezo wa fainali iliyochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika,  mwisho wa reli Kigoma .


Ushindi huo unawafanya Simba watetee taji lao la Kombe la Shirikisho ambalo walitwaa msimu uliopita Sumbawanga baada ya kushinda mbele ya Namungo. 


Barbara amesema:"Ikiwa ungeniuliza kati ya kufungwa na kuchukua kombe ningependa nini itokee, mimi ningesema bora kufungwa lakini tupate kombe," .

4 COMMENTS:

  1. CEO Upo awa kabisa.

    ReplyDelete
  2. Tupo pamoja nawe na maendeleo Makubwa chini ya uongozi wako hajuba asieyaona na tunakutakia kila la kheri uendelee na maendeleo yakifuatiwa na maendeleo mengi kutokana na usafi wa roho yako na Mugu yupo nawe

    ReplyDelete
  3. CEO, mimi naomba uwafyeke wooote waliokuwa wakiihujumu Simba kabla. Simba ina uwezo ila wapenda pesa walikuwa wanashirikiana na wapinzani wetu kwa asante ya vibahasha. Hawafai kabisaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hii roho sio ya unyenyekevu hata kidogo,na endapo unapewa madaraka inaonekana utakua zaidi ya IDDI AMINI,nakushauri usiwe na roho ya namna hii.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic