OMARY Mpili, maarufu kama Mzee Mpili amesema kuwa bado mechi moja lazima Simba wapigwe kwa kuwa hamna namna.
Mpili awali alibainisha wazi kuwa katika mechi hizo mbili ambazo zimebaki, wakikaa vibaya watapigwa zote ila bahati mbaya moja Yanga wamepigwa.
Umaarufu wake ulikuwa ghafla baada ya Julai 3 ubao kusoma Simba 0-1 Yanga ambapo bao la ushindi lilifungwa na Zawad Mauya kwa shuti lililomshinda Aishi Manula baada ya mpira kumgonga beki Shomari Kapombe.
Kabla ya mchezo huo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa Mzee Mpili alibainisha kuwa watashinda mbele ya Simba kwa kuwa ana watu na mwisho Yanga ikashinda na kusepa na pointi tatu mazima.
Kuelekea katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Mpili amesema:"Kuna Ngao ya Jamii hiyo nayo wakikaa vibaya nawapiga kama nilivyofanya katika mchezo wa ligi," .
Lugha zao zipo palepale na ndipo watapozidi kuanguka. Mlijiamini lakini nguzo hiyo haipo tena na mnyama akizidi kujijenga na mraona msimu huu ulikuwa bora kwenu kuliko inayokuja kwasababu mmeshajibomowa haiwezi kutengenezeka
ReplyDeleteMwandishi na wewe kama mwehu vile unabalance story wakati wenzako wanaugulia Kidole
ReplyDeleteAmeshapoteza umaarufu. Alisema Kigoma atawapiga Simba mabao, sio bao. Aatakiwa azungumzie mechi hii kuwa ameshindwa alichoahidi. Yeye anaacha kuizungumzia hii, anazungumzia ijayo. Lengo lake apewe tena hela za 'maandalizi'
ReplyDeleteHuyu babu apumzike atakuja kufa bure
ReplyDeleteBabu ameshang'amua kuwa anapata ulaji kwa kuropoka ropoka kwa hiyo hataacha kucheza na mitandao ya jamii na vyomb vingine vya habari
ReplyDeleteHuyu mzee ameshindwa hata kutia hongera ya kiungwana walau sio ya moyinu lakini ya kiungwana kama walivifanya wengi. Anachukulua mpira uadui hajui kuwa mpira unaunganisha duniani urafiki na kujuwana. Myngu ampe moyo wa imani
ReplyDeleteBahati haiji mara mbili slibshatisha tarehe 3 anafikiti ndo kila siku wakati ndumba haichezi na utopolo inawachezaji wengi viazi tu
ReplyDelete