July 18, 2021

 Mechi ya mwisho leo ndani ya Ligi Kuu Bara kwa Coastal Union kiingilio kwa viti vya kawaida ni jero huku VIP ikiwa  ni 1500.



Lengo kubwa ni kuona mashabiki wanaingia kwa wingi katika mchezo wa leo ambao ni wa maamuzi kwa timu hiyo kushuka daraja ama kupata nafasi ya kucheza play off ama kubaki moja kwa moja.


Coastal Union ipo nafasi ya 14 ina pointi 37 inakutana na Kagera Sugar, Uwanja wa Mkwakwani,  Tanga.


Kagera Sugar ipo nafasi ya 11 ina pointi 40 nayo pia inahitaji pointi tatu muhimu ili kuweza kujihakikishia nafasi ya kubaki ndani ya ligi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic