July 15, 2021

 KIKOSI cha Simba ambacho kimeanza leo mbele ya Azam FC kimeendelea kuwa na mabadiliko katika kikosi cha kwanza ambapo nyota Said Ndemla mchezo uliopita dhidi ya Coastal Union alianzia benchi leo ameanza kikosi cha kwanza.



Bado Beno Kakolanya kipa namba mbili ameendelea kuwa namba moja akichukua nafasi ya Aish Manula pamoja na uwepo wa David Kameta, kwa mujibu wa kocha msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa lengo ni kuona wachezaji wanapata nafasi.

Hiki hapa kikosi cha kwanza kilichoanza leo


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic