MABINGWA wa Kombe la Shirikisho, Simba tayari wameshawasili Dar na taji hilo baada ya kulitwaa jana.
Katika mchezo wa Kombe la Shirikisho kwenye fainali walikutana na Yanga ambao ni watani zao wa jadi.
Ushindi wa bao 1-0, Uwanja wa Lake Tanganyika kupitia kwa Taddeo Lwanga ulitosha kuwafanya watetee taji hilo.
Ikumbukwe kwamba walitwaa msimu wa 2019/20 zama za Sven Vandenbroec, Sumbawanga kwa ushindi mbele ya Namungo na jana ilikuwa mbele ya Yanga.
Kocha wa sasa ambaye ni Didier Gomes amesema kuwa ni furaha kwake kuona wanatimiza lengo ambalo walijiwekea.
Yaa simba yuko vizuri sana upande wa shirikisho kama ilivo kwa mtani wake yuko vizuri sana kwa upande wa premier makombe yanaongea
ReplyDeleteMpumbavu hujulikana kwa maneno ya kinywa chake,"wewe ni MPUMBAVU WA KIWANGO CHA JUU KABISA"endelea kubaki na upumbavu wako na hizi media zinazolipwa kwa dhamira yakuwaaminisha kwamba mko vizuri ipo siku kitaeleweka tu.
DeleteUtopolo hoi
ReplyDeleteAcha upimbi wewe, unataka useme Simba ndio be kila kitu kwa Kila mtu?Kwani mpaka sasa haijaeleweka kuwa yanga ni bora?
ReplyDeleteElezea ubora wa yanga labda tunaweza tukakuelewa,mpira ni mbinu broo,ukiachana na ubora wa kikosi,angalia MAMELOD amecheza ligi mpaka anachukua ubingwa amefungwa na kaizer chif timu inayoshika nafasi ya 12 kwenye msimamo,sio kwamba kumfunga mwenzio wewe ni bora hapana bali kaizer chif alikua bora kimbinu,ndiomana wewe umefungwa na azam,umefungwa na wagosi,na umesuluhu mechi 11 za ligi na umeruhusu magoli mengi kuliko simba hata viwango vya caf vinajieleza SIMBA NI BORA KWA BARA LA AFRIKA ingawa hutaki kuamin ila imedhihirika,ubora wa timu huanza na mambo haya 1:umilik wa mpira 2:shots on target 3:pass acuracy 4:number of fouls commited (minimal) 5:game textures,ndiomana kaizer chif hawezi kupanda viwango vya caf kwasababu anakosa vipengele hivi vya muhimu,hapa watanielewa wachache sana,kama unakumbukumbu hakuna game simba anacheza awe chini kwenye hivyo vipengele sijawahi ona.hata game kaizer chif alimzidi kila idara isipokua mbinu za kaizer chif ndizo zilizoibeba ndiomana leo amekuja kufungwa na al ahly kama mpumbavu
Delete