July 16, 2021

9 COMMENTS:

  1. Fei mzee unasema simba wepesi lakini ndio mabingwa, wewe na uzito wako una nini, labda ndumba.

    ReplyDelete
  2. Ubingwa wa kubebwa ngombe wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Akili za kiutopolo na wivu usio na faida hautawafikisha popote mtaishia kugombania nafasi ya pili na mkienda kimataifa mnaishia round za mwanzo kbs

      Delete
    2. Simba ilivyonyimwa zile penati mbona hamkusema mnabebwa. Ingekuwa Utopolo sa hz wangekuwa CAS

      Delete
  3. Manyani wanaumia sana kuona Mnyama anabeba tu makombe kila mwaka

    ReplyDelete
  4. Mnabeba makombe au mmebeba kombe, hilo la FA bado hatujui bingwa au unazungumzia misimu iliyopita

    ReplyDelete
  5. Shida ya mikia wote akili hazipo huyo Elias Sasi hata Jana kajiripua bila kusahau mechi ya KMC na Simba alijilipua na yule wa Namungo na Yanga na Mbeya City wakajiripua wanajua makaka KARIA na BODI ya Ligi wapo ,utafingiwa mechi tatu au wataangalia upepo ,lkn mechi matokeo hayabadiriki na huku umetimiza hadhma yako.Na huu mtindo wa kuwa kila mechi yetu na nyie mikia ikiwashinda mnamleta Othman Kazi kupiga propaganda eti Penalt mkome.Huyo Refa tunamjua Kama siyo kumkumbuka Ni mnazi wa mikia ,aliwahi kumaliza Mpira huku Said
    Maulid kawekewa njiani Counter Attack CCM Kirumba,bila kusahau alifungiwa kwa kupanga matokeo.Kwanini hamfungi hayo magoli yenu mnasema ya movie hatuonagi hizo movement mnaishia kuomba Penalt.Basi Kwahiyo Italy siyo Bingwa wa Ulaya cse mechi na Spain Chielini alianguka akashika Mpira Refa hakutoa Penat lkn Sasi Jana mchezaji wa Azam kaanguka Mpira umemgusa kaweka faulo ,muda huo mikia wapo nyuma.

    ReplyDelete
  6. Maelezo mengiii lakini ugoro mtupu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic