MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
Kila la kheri watani kwenye mechi yenu ngumu. Tunatarajia kuona ufundi zaidi kwenye mechi hiyo siyo kukamiana na kuumizana kwa kijinga. Ila mechi ni ngumu inavyoonekana.
ReplyDeleteMechi hizi ufundi kidogo sana na hukuna ladha
ReplyDeleteNaomba wachezaji wetu wasiwe na kiwewe na hofu kama inavoonesha na wacheze kwa kujiamini na safari hii kombe litakwenda jangwani
ReplyDeleteLabda kombe la uji,tena wa chumvi.
Delete