July 27, 2021

6 COMMENTS:

  1. Si mpaka,hacha story na kudanganya mechi za Yanga zimeonyesha Chama,Louis wepesi mno

    ReplyDelete
  2. Hapana Mchezaji pale ndiyo maana club Ina thamani ya B42 pesa za matangazo ya AZAM Yanga

    ReplyDelete
  3. Mechi za makandokando za Yanga zidi ya Simba na marefa wetu hawa ambao huwezi jua wanafuata Sheria za wapi za mpira? sio kimipo Cha kuwapima wachezaji Kama chama na Luis. Ndio maana chama kaingia katika kikosi Bora Cha CAF Cha msimu. Na Miqisone ameingia mara kadhaa kwenye vikosi bora vya CAF vya champion league wakati wa mashindano na kufunga goli Bora la mwezi zidi Ahly.
    Marefa wetu hawa Miqisone analimwa guu la Shingo Refa anapeta kha? Yanga wakiingia na mentality ya uchezaji Kama huu champion league kunahatari ya timu nzima kupewa kadi nyekundu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. utopolo na marefa wao watawaponza kwenye mechi za kimataifa

      Delete
  4. Replies
    1. Tifautisha mazoea na bahati mbaya

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic