VIDEO: HAJI MANARA KUACHA KAZI SIMBA, AWAVAA WACHEZAJI
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa ikiwa watafungwa tena na Yanga, Julai 25 atabwaga manyanga katika nafasi hiyo, pia amewaambia wachezaji kwamba Julai 3 walicheza kama wanadai vile.
0 COMMENTS:
Post a Comment