VIDEO: HUYU HAPA KIPA WA IVORY COAST KUIBUKIA YANGA
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Yanga upo kwenye mazungumzo na kipa wa Ivory Coast Elieza mwenye miaka 23 ambaye atakuja kuchukua mikoba ya Metacha Mnata ambaye anawezwa kuwekwa kando kutokana na kutokuwa na mwendo mzuri ndani ya kikosi hicho kutokana na masuala ya nidhamu.
IMEVUJA: Julai 25 mtu anapigwa 4G
ReplyDeleteWageni washafika 16 au sheria imebadilishwa
ReplyDeleteMsihemke.
ReplyDelete