VIDEO: KICHUYA: SIMBA ILISTAHILI KUTWAA UBINGWA
KIUNGO wa Namungo FC, Shiza Kichuya amesema kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara Simba walistahili kutwaa taji hilo kwa kuwa walijipanga na amebainisha kuwa kupoteza mchezo wao uliopita walipokutana na Simba, Uwanja wa Majaliwa Lindi kulimuumiza kwa kuwa alikuwa anaamini kwamba wanaweza kushinda.
Poke sana kichuya. Ijapokuwa ni mchezazjl qa tinu nyengine lakini hatutsahau kabusa nama ulivoipa ufanisi mkubwa sana na hatuwezi kukusahau. Roho yako iko kwetu na zetu zipo kwako
ReplyDelete