July 20, 2021

KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula ambaye amekamilisha msimu wa 2020/21 akiwa na tuzo ya kipa bora amesema kuwa siri kubwa ya timu hiyo kupata ushindi ni ushirikiano jambo ambalo limewafanya waweze kuwa bora na kuweza kutwaa mataji manne. 

Amesema kuwa kwa sasa hafikirii tuzo ya ndani bali anafikiria namna gani anaweza kuwa bora na kutwaa tuzo ya Afrika.

 

1 COMMENTS:

  1. Manula si kipa bora ndani ya Sinba tu bali Tanzania na hilo linajulikana

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic