July 20, 2021

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba haikuwa maneno matupu bali walikuwa na mipango ya kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara jambo ambalo limewafanya washindwe kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ni kushindwa kupata pointi kwenye baadhi ya mechi.

 Pia kuhusu changamoto ambazo zimejitokeza wameahidi kuzifanyia kazi wakati ujao pale ambapo walikosea, Kuhusu suala la usajili wameweka wazi kwamba katika kujenga kikosi timu haijengwi siku moja hivyo watu wanapasa waelewe.

 

3 COMMENTS:

  1. Watu gani wanaopaswa waelewe Kama so nyie viongozi ambao kila msimu mnaunda timu mpya halafu isipofanya vizuri mnasingizia kuonewa kisha kukimbilia kushitaki.... Jengeni timu kwa umakini na mpunguze sifa zisizo na tija kwani mpira unachezwa uwanjani sio kwenye vyombo vya habari

    ReplyDelete
  2. Tunataka mkwanja wetu!

    ReplyDelete
  3. Hesabu kidogo Yanga imefungwa mechi chache kuliko hata bingwa mwenyewe na imemchapa vizuri tu bingwa ambaye kapoteza point nne kwa yanga. Hivyo sio timu mbaya kilichowagharimu ni zile saresare maua.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic