VIDEO: TANZANIA PRISONS YAPATA DILI NONO, USAJILI WAPIGIWA HESABU
TIMU ya Tanzania Prisons inayoshiriki Ligi Kuu Bara ambapo kwa sasa maskani yake yapo Songea na inatumia Uwanja wa Nelson Mandela imepata dili la kupata mdhamini ambaye ni Kampuni ya Kubashiri ya Soka Bet, kupitia udhamini huo Prisons imebainisha kwamba itafanya usajili bora katika kufikia malengo kwa msimu wa 2021/22.
Mwandishi mbona hutumii akili yako? Kila siku unarudia kosa lile lile, uwanja wa Nelson Mandela hauko Songea, uko Sumbawanga. Inaonyesha kabisa hukusoma vizuri primary na secondary masuala ya jiografia
ReplyDelete