IMEELEZWA kuwa Peter Banda amemalizana na mabosi wa Simba na anasubiri kutambulishwa muda wowote kwa kuwa dirisha la usajili limeshafunguliwa.
Klabu ya Simba ilianza kumfuatilia Banda kwa muda mrefu ili kumpa dili la miaka miwili ikiwa ni kwa ajili ya kujiandaa kuwa mbadala wa Luis Miquissone.
Jana ilieleza kuwa Yanga wamepindua meza kibabe kwa kusepa na Banda ila mambo yalikuwa tofauti kwa kuwa Banda yupo zake nchini Malawi.
Mtu wa karibu kutoka ndani ya Simba alieleza kuwa kila kitu kipo sawa na hakuna ambaye anaweza kuwatingisha wakiamua jambo lao.
Winga huyo ana umri wa miaka 20 alikuwa kwa mkopo ndani ya Sheriff ya Moldovia na alimaliza mkataba wake na alirejea kwenye timu yake ya Big Bullets ambayo ipo Tanzania inashiriki mashindano ya Kagame.
Kuhusu dili lake la kujiunga na Simba nyota huyo alisema kuwa anatambua kwamba kuna mpango huo ila hawezi kuweka wazi walipofikia kwa sasa.
Utopolo mpooo? Yani Utopolo ugombee mchezaji na Mnyama halafu ushinde wewe, sio zama hizi. Kwanza wachezaji wazur wanyewe wanapenda kucheza simba
ReplyDeleteUpo sahihi kabisaaaa kiongozi!!
DeleteHivi na wewe unaamini taarifa za hawa jamaa?Hebu soma post waliopost almost saa moja iliopita kuhusu huyo mchezaji then baada ya saa moja wanakuja na pumba nyingine
ReplyDeleteUtopolo KOMAAA.��
ReplyDeleteKujilinganisha na Simba.
Huyo Co banda Kaka.subirini mikia time will tell
ReplyDeleteMstopolo hawataki kujiweka nyuma kila qakisikia kuwa mnyama anataka kumsajili nyota fulanu, mara utasikia na wao wanamtaka ili nao kuonesha wamo hela ipo, lakini nawapa nasiha kuwa wasijaribu kumuiga tembo kumeza boga kwani likiwakamwa ni tabu kumpatabn wa kulikwamuwa
ReplyDeleteMikia walisema watasajiliwachezaji kutoka South Amerika, walikia wanawadanganya wafuasi wao huku wakijua ni hawana uwezo huo wakupata mchezaji wa maana S.Amerika
ReplyDelete