August 3, 2021

6 COMMENTS:

  1. Mchezaji wa kawaida inashangaza kelele na Tambo zote hizo hapa ndipo wanapofeli wananchi.Makambo alipata bahati ya kutumikia kikosi kilicho shiriki klabu bingwa Africa kule Horoya FC Kama angekuwa mchezaji wa level ya klabu bingwa Africa asingerudi Yanga.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Amerudi sasa nini kinakuwasha? Au chupi umeshavua?

      Delete
  2. Mliivua kigoma kaeni hivyo hivyo mkao wa kupachikwa ngao ya Jamii inakuja.

    ReplyDelete
  3. Haaa haaa,,, simba na yanga bhn! Full mautani yan

    ReplyDelete
  4. Hivi ninyi mikia aliyewaroga nani ,kila kitu Cha Yanga kibovu na Kama Makambo aliflop huko halafu akaja Yanga aka perform simtaugua mishipa

    ReplyDelete
  5. Yanga ya leo siyo ile ulioiwacha. Leo kuna Mzee Mpili na wenzake waliokamata mpini

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic