VIDEO: TFF YASAINI MKATABA WA BILIONI 3 NA TBC LEO Agosti 3, Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) limeingia mkataba na Shirika la Utangazaji Tanzania, (TBC) kuhusu kurusha matangazo ya mpira wa miguu kwenye radio.
soka halafu mpira wa miguu,ila sheria hizo ni kuviminya vyombo vingine vya habari
ReplyDeleteeti kukaa na visimu vyenu mnatangaza ana dharau huyu karia huyu sura chachu
ReplyDelete