KIUNGO wa Simba, Bernard Morrison,amemjibu Haji Manara kupitia ukurasa wa Instagram baada ya kuwaomba Wananchi kujitokeza kwa wingi Uwanja wa ndege leo kumpokea Papaa Mopao ambapo Morrison aliamua kumtolea uvivu Manara kwa kusema kuwa kwa sasa amekuwa kiongozi wa watu kwenda mapokezi.
Kesho kutakuwa na burudani kubwa Uwanja wa Mkapa ambapo atakuwepo Olomide katika kilele cha Wiki ya Mwananchi na utachezwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya Zanaco FC.
Hizo video zenu mbona huwa zinaonekana nusu?
ReplyDeleteVery poor video display!
ReplyDeleteKhaji is trying to show off that everything is having a great time at Yanga but infact he is a loser.
ReplyDeleteI concur
DeleteManala ana khelehele atal
DeleteAtakuwaje loser wakati halipwi punje za mshahara? Sasa analipwa zaidi ya mara 14
DeleteUtaelewa tu kuwa anakuwaje loser.... Vilaza kuchelewa kuelewa ni kawaida
DeleteWe una shule gani? Hujaweza kutambua mchango wake mpaka sasa. Mikia kumepooza mpaka mnasogeza mbele mikia day yenu.
Delete