VIDEO:ALIYEITUNGUA YANGA ATAJA HESABU ZAO MECHI ZA MBELE KAGAME
MSOWOYA Chiukepo nyota wa Big Bullets ambaye jana Agosti Mosi alipachika bao la usawa mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Kagame amesema kuwa kikubwa kwenye mashindano haya ni focus ya kufanya vizuri zaidi hasa kwa mechi zijazo wanahitaji kushinda.
0 COMMENTS:
Post a Comment