UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba kuelekea kwenye wiki la Mwananchi ni lazima kila mmoja ajitolee kwa hali na mali ili kukamilisha jambo hilo.
Kaimu Katibu wa Yanga, Haji Mfikirwa amebainisha kwamba mipango inakwenda sawa na kikubwa ni kuona mashabiki wa Yanga wanatoa sapoti ili kuweza kuonyesha ukubwa wa timu hiyo.
Ni Agosti 29 inatarajiwa kuwa kilele cha wiki ya Mwananchi, Dar, Uwanja wa Mkapa kesho Agosti 22 inatarajiwa kuanza kwa mashabiki wa Zanzibar. Timu kwa sasa ipo kambini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa 2020/21.
Tunataka makombe, ukubwa kwenye jezi wapi na wapi. Uliona wapi timu ikapata tuzo kwa sifa ya jezi
ReplyDeleteWewe mkia makombe tunayoyakutosha ,lete jezi nzuri siyo marapurapu ya upande wa pili msimu mmoja aina ya jezi 10 halafu eti mabadiliko.
ReplyDeleteMwambie huyo hajui sisi ni waonesha mavazi ndo maana wakongo wengi
DeleteUnazungumzia vikombe gani wewe chura au vile vya kunywea kahawa vijiweni.Tunasubiri hiyo shoo ya wapaka rangi vichwani na kujichubua watakavyokata viuno pale kwa mkapa.
DeleteSimba tuleteen jezi nzr jaman htakama ubingwa tunachua mata 10 mfurulizo lakn sio mtuvalixhe ilimladi jezi no hilo me cwaung mkono leteni jezi bora jaman inauma umechukua ubingwa halafu unachekwa eti jezi mbovu
ReplyDelete