KIKOSI cha Simba kinachotarajiwa kuanza leo Uwanja wa Mkapa katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga.
Mchezo unatarajiwa kuanza saa 11:00 jioni ambapo ni mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 27, kikosi kitakuwa namna hii:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Joash Onyango
Pascal Wawa
Mohamed Hussein
Sakho
Kanoute
Rarry Bwalya
Taddeo Lwanga
Chris Mugalu








Mzamiru yasin umemsahau et na nyoni erasto pia dilunga hao sako na kanoute ni mapema kuwaanzisha wausome kwanza. Mchezo by dkk 50 hv waingie
ReplyDeleteMbona wako 10 tuu? Subiri orodha sahihi acha kuwanga
ReplyDeleteItakuwa mchezaji mmoja wamempa kadi nyekundu kabla ya kuanza mechi!
Deleteinamaan leo wanacheza kumi kwa kimi?
ReplyDeleteYaani mwandishi ameshatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wakati hata hajatoka kwenye vyumba vya kubadilishia nguo....Wachawi utawajua tu!!
ReplyDeletembona ni kumi tu
ReplyDeleteSijaelewa leo simba wanaingiza wachezaji kumi tu ah
ReplyDeleteHii Ni ishara kuwa mWandishi hayuko MAKINI.HAKIDHI VIGEZO VYA KUTOA TAARIFA
ReplyDeleteMWandishi hayuko katika Hali ya uzuri katika kutoa TAARIFA.
ReplyDelete