September 25, 2021


KIKOSI cha Simba kinachotarajiwa kuanza leo Uwanja wa Mkapa katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga.


Mchezo unatarajiwa kuanza saa 11:00 jioni ambapo ni mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 27, kikosi kitakuwa namna hii:-

 Aishi Manula


Shomari Kapombe


Joash Onyango


Pascal Wawa


Mohamed Hussein


Sakho


Kanoute


Rarry Bwalya


Taddeo Lwanga


Chris Mugalu


9 COMMENTS:

  1. Mzamiru yasin umemsahau et na nyoni erasto pia dilunga hao sako na kanoute ni mapema kuwaanzisha wausome kwanza. Mchezo by dkk 50 hv waingie

    ReplyDelete
  2. Mbona wako 10 tuu? Subiri orodha sahihi acha kuwanga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Itakuwa mchezaji mmoja wamempa kadi nyekundu kabla ya kuanza mechi!

      Delete
  3. inamaan leo wanacheza kumi kwa kimi?

    ReplyDelete
  4. Yaani mwandishi ameshatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wakati hata hajatoka kwenye vyumba vya kubadilishia nguo....Wachawi utawajua tu!!

    ReplyDelete
  5. Sijaelewa leo simba wanaingiza wachezaji kumi tu ah

    ReplyDelete
  6. Hii Ni ishara kuwa mWandishi hayuko MAKINI.HAKIDHI VIGEZO VYA KUTOA TAARIFA

    ReplyDelete
  7. MWandishi hayuko katika Hali ya uzuri katika kutoa TAARIFA.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic