September 21, 2021

4 COMMENTS:

  1. Kanoute yupo vizuri Sana tu na Simba wanabahati Sana. Kwa sababu sio rahisi sana kwa timi zetu kumpata mchezaji kijana wa kigeni mwenye top level ya kaliba ya kanoute. Kuna Mchezaji mwengine katika maingizo mapya ya simba ambae watu hawampi uzito anaostahiki ni Kibu Denis, kwangu mimi Kibu Denis ni Mohammed Huseni Mmachinga mpya mtrajiwa kama atapata Msimamizi mwenye maono.

    ReplyDelete
  2. Rejodi zipi anazozingumzia mwandishi wa gazeti, ngoja nikalinunue nijiridhishe.

    ReplyDelete
  3. KAZE ANARUDI TENA BADA KUSIKIA KULE MTAA WA PILI KUNA WATU WA 3

    ReplyDelete
  4. Auchoo! Hi motoo! Subirini..

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic