September 6, 2021

 


KIKOSI cha Simba kimeendelea na maandalizi kwa ajili ya msimu wa 2021/22 na kambi yao kwa sasa ipo Arusha.


Jana msafara wa wachezaji 23 ba benchi la ufundi lenye watu 11 lilikwea pipa na kuibuka ndani ya jiji la Arusha.


Miongoni mwa nyota ambao walikwea pipa ni pamoja na Ibrahim Ajibu, Jonas Mkude, Henock Inonga, Kenedy Juma.


Kina kazi ya kufanya kuelekea Septemba 19 ambapo itakuwa ni siku ya kilele cha tamasha la Simba Day.


Didier Gomes,  Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaamini maandalizi yatakwenda sawa na wanahitaji kufanya vizuri msimu mpya.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic