FT: Kagera Sugar 0- Yanga
Yanga wanasepa na pointi tatu mbele ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Kaitaba.
Dakika 90 zimekamilika, Uwanja wa Kaitaba, zimeongezwa dakika 3
Dakika ya 88 anatoka Mayele anaingia Ninja
Dakika ya 87, Luhende anapiga kona inaokolewa na mabeki
Dakika ya 82 Mayele anakosa nafasi ya wazi baada ya kipa Chalamanda kutoka kidogo katika lango lake
Dakika ya 77 Jesus anatoka anaingia Nchimbi, anatoka Fei Toto anaingia Kaseke
Dakika ya 73 Mauya anapiga shuti linakwenda nje ya lango
Dakika ya 70 Chalamanda anapiga nje mpira uliokuea unaelekea katika lango lake na Yanga wanata kona inaokolewa
Dakika ya 62, Yacouba anatoka anaingia Makambo
Dakika ya 60 Kagera Sugar wanapata kona inaokolewa na mabeki wa Yanga
Dakika ya 58 Luhende anafanya jaribio kwa pigo huru linaokolewa na Diarra
Dakika ya 53 Yacouba anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 51 Yacouba anafanya jaribio linaokolewa inapigwa kona na Jesus kichwa cha Djuma kinaupeleka mpira nje ya lango
Dakika ya 50 Mwalyanzi anapeleka mashambulizi Yanga
Dakika ya 46 Zawad Mauya anaingia anatoka Farid Mussa
Kipindi cha pili
Mapumziko
Zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 45 Yacouba anafanya jaribio linaokolewa na Chalamanda
Dakika ya 44 Aucho anachezewa faulo
Dakika ya 40 Chalamanda anapeleka mashambulizi Yanga
Dakika ya 37 Yanga wanapeleka mashambulizi Kagera Sugar
Dakika ya 36 Fei Toto anapeleka majalo kwa Kagera Sugar
Dakika ya 34 Aucho anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 31 Mayele anafanya jaribio linakwenda nje ya 18
Dakika ya 30 Jesus anapiga shuti linakwenda nje ya 18
Dakika ya 25 Yacouba anapiga shuti linakwenda nje kidogo ya lango
Dakika ya 24 Gooooool Fei Toto ndani ya 18 baada ya mabeki wa Kagera Sugar kujichanganya
Dakika ya 22 Bangala anapiga kona inaokolewa
Dakika ya 18, Rajab Lwenge anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Djuma
Dakika ya 16, Bangala anapiga kona inakutana na kichwa cha Aucho mpira unakwenda nje ya lango
Dakika ya 15 Yacouba anapiga shuti akiwa nje ya 18 linakwenda nje ya lango
Dakika ya 14 Diara anapeleka mashambulizi Kagera Sugar
Dakika ya 12 Aucho anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 10 Yacouba anapiga shuti linakwenda nje ya lango kwa pasi ya Farid Mussa
Dakika ya 9, Bangala anapiga kona haileti matunda
Dakika ya 8 Fei Toto anafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 7 Diarra anaokoa hatari
Dakika ya 6 Mayele na Yusuph wanapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 5 Fei Toto kwa Kibwana Shomari, Fei anampa Yacouba mpira ukatoka
Dakika ya 4 Kagera Sugar wanaanua majalo ya Mayele
Dakika ya 3 Djuma Shaban anapeleka majalo Kagera Sugar
Dakika ya 2 Aucho anapeleka kwa Fei Toto
UWANJA wa Kaitaba
Mchezo wa Ligi Kuu Bara
Kagera Sugar 0-0 Yanga
Kuna mwenye swali?
ReplyDeletehakunaaa naona wote kimya baba
ReplyDeleteWengine wapo busy wanajadiliana kuhusu tamko la mwekezaji.......
Delete