MSIMU wa 2021/22 tayari umeanza na timu zipo tayari kwa ajili ya kuanza mapambano ya kusaka pointi tatu ndani ya uwanja.
Miongoni mwa timu ambazo zimekamilisha usajili na uzi mpya kwa ajili ya msimu mpya ni pamoja na KMC yenye maskani yake Kinondoni.
Uzi mpya wa KMC upo namna hii.
0 COMMENTS:
Post a Comment