September 13, 2021

MTUPIAJI wa bao pekee lililowapa maumivu Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya awali, Moses anayekipiga ndani ya Rivers United amesema kuwa alikuwa hajaifuatilia kwa muda mrefu Simba hivyo alipokuja Tanzania aliweza kufanya jambo hilo na kuweka wazi kuwa ikiwa timu hiyo inahitaji kupata saini yake ni suala la kufanya mawasiliano na uongozi wa Rivers United.

 

1 COMMENTS:

  1. Kila mchezaji anatamani kucheza simba sc,, ni sijui Kwann

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic